Blogger Widgets

September 6, 2012

Huu Ndio Utata aliozua Nick Minaji Kwa Obama kutokana na Verse yake

 






 Nicki Minaji kaingia kwenye utata na mashabiki wake wake kutokana na statement yake aliyoitoa kutoka kwenye line ya mixtape ya Lil wayne.
Line Hiyo ilisema “I’m a Republican voting for Mitt Romney/You lazy b*tches is f-ing up the economy.” Sentensi hiyo inayosadikiwa kumshushia Hadhi Obama
Pamoja na Hayo Nick minaji ni kama kapinga Kampeni ya P.Didy  yenye slogan ianyoitwa “Vote Or Die” anayompigie kampeni Bwana Obama.

Kutokana na verse hiyo Fans wa Nick Minaji hasa wanaotumia mtandao wa Twitter  wanadai hiyo ni dalili ya Nick Minaji ku Fall dawn kwenye Game Hili!!!                                                                          


No comments:

Post a Comment