Blogger Widgets

November 21, 2012

Hivi unafikiri si sawa au ni ugumu wa maisha ulimsababisha mama huyu aliekutwa akaijiuza mwili wake mitaa Buguruni akiwa na mtoto wake mchanga anaenyonyesha?


Katika pitapita yangu leo, nimekutana na picha hizi kwenye mitandao mbalimbali ya jamii.Mwanamke amekamatwa Akijiuza Usiku Huku akiwa na mtoto wake mdogo Tukio hili lilitokea katika kamakamta ya machangu mitaa ya buguruni Dar es salaam, je unafikiri ni sawa au ni Hali ngumu ya maisha