Hivi unafikiri si sawa au ni ugumu wa maisha ulimsababisha mama huyu aliekutwa akaijiuza mwili wake mitaa Buguruni akiwa na mtoto wake mchanga anaenyonyesha?
Katika
pitapita yangu leo, nimekutana na picha hizi kwenye mitandao mbalimbali
ya jamii.Mwanamke amekamatwa Akijiuza Usiku Huku akiwa na mtoto wake
mdogo Tukio hili lilitokea katika kamakamta ya machangu mitaa ya
buguruni Dar es salaam, je unafikiri ni sawa au ni Hali ngumu ya maisha