November 24, 2012

Moja ya Picture ya AY akiwa anafanyiwa Mapokezi uwanja ndege wa Mwl nyerere,Baada ya Kushinda Tuzo ya Channel O.


AY AKIFURAHIA KWA KUCHEZA NGOMA PAMOJA NA KIKUNDI KILICHOKUJA KUTUMBUIZA UWANJANI HAPO

Kweli Tumefika Level nzuri na Hii imedhihilishwa na Tuzo kubwa iliyochukuliwa na Msanii aliyekuwa aniwakilisha East Coast enzi hizo AY mzee wa Komesho.Congraturate Him.