Msanii mwingine wa Bongo Movie aliaga Dunia Huyu Hapa.Unakumbuka movie ya Mrembo Kikojozi.
KWA HABARI zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa msanii muigizaji
ambaye anatambulika kwa jina la John Stephano amefariki dunia asubui ya
kuamkia leo akiwa amelazwa katika hospitali ya muhimbili kwa ajili ya
matibabumsanii huyu ameshaigiza filamu mbalimbali ikiwemo ya mrembo kikojozi pamoja na nyingine nyingi