Mwanamke mmoja ambae jina lake halikuweza kufahamika maramoja aliamua
kumpa adhabu mumewe kwa kumuamuru atembee uchi wa mnyama baada ya
kumfumania na mwanamke mwingine aliyekuwa akifanya nae mapenzi ndani ya
gari, baada ya kuwafuma mwanamke huyo mbabe aliamua kudiriki na kile
kinacho muhusu nikimaanisha mme wake kwa kumtoa ndani ya gari hilo na
kumwambia atembee uchi kutoka eneo la tukio mpaka nyumbani na kuamua
kumwachia huru mwanamke aliyemfumania nae.
Inadaiwa kuwa mwanaume huyo ni mtu ambae hana kazi kwa muda mrefu na mwanamke huyo ndio alikuwa akimtunza na kumuhudumia kila kitu.swali ni je mwanamke huyo alikuwa na haki ya kumtembeza mme wake uchi tena hadharani ? Unamaoni gani kuhusu hili swala na kama unge kuwa ndio wewe ungefanyaje?