Raheem mkadara a.k.a. Raheem Da Prince kama anavyojulikana kitaani,
alipoulizwa "Why Da Prince" jibu lake ni kwamba nyota yake ni Simba na
hivyo ni mtawala in nature, Da prince kwa sababu ni Simba mdogo lakini
soon atakua King" hayo ni maneno yake akiongea huku anacheka,
Raheem Da Prince alizaliwa 03/08/1989 Dar es salaam kitaa cha magomeni na ndio mahali alipokulia hadi miaka ya tisini katikati na kuhamia mitaa ya Airport na ni hapo alipopata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi Kipawa kuanzia mwaka 1996 hadi 2002 kisha secondary school O-level katika shule ya kimataifa ya St.Marys kuanzia mwaka 2003 hadi 2006 kisha kumaliza high school form six Green Acres high school na hivi sasa ni mwananfunzi wa Mwaka wa 3 katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam Mlimani akisomea Degree ya Political science na philosophy.

Kwa Upande wa kazi Raheem a.k.a. Da Prince ni Tv/Radio
presenter, sehem yake ya kwanza kuonesha kipaji chake ilikua ni Channel
ten na Magic Fm radio mwaka 2011 kwenye mwezi wa nne anasema katika
ku-hustle kutafuta mchongo akabahatika kupata chance ya kuonyesha uwezo
wake hapo kwa msaada wa Salma Msangi Kimora ambaye alimpeleka moja kwa
moja kwa Manager wa Vipindi Orest Kawau na Dizo, Baada ya hapo Raheem
kipaji chake hakikujificha.
Uwezo ulianza kuonekana alipopewa segment katika show ya DalaDala Beats "DalaBiz" segment iliyokua inaelezea kuhusiana na Stories za Ma-star wa mbele Ulaya na America muda mfupi baadae akapewa show ya TV MusicXpress kupitia Channel ten.
Kama inavyojulikana kila kitu kina mwisho wake Raheem Da Prince aliondoka Channel Ten/Magic Fm mwezi wa 6 mwaka 2012 kutokana na kile alichokieleza kwamba anatafuta fursa sehemu zingine lakini hawezi kuacha kuwashukuru Magic Fm kwa kukikuza kipaji.

Ukiacha na Utangazaji Raheem Da Prince pia ni Commercial Model anafanya matangazo ya biashara kutokana na mwonekano wake, kampuni za matangazo hazikua nyuma katika kumpa deals, mwezi wa tisa yani september alichaguliwa kufanya Tangazo la Tigo Xtreme pack mkataba wa miaka miwili....
Da Prince ni shabiki mkubwa wa team za Manchester United na Real Madrid na kwa hapa nyumbani Simba sports club ndio chama lake... Kwa kumpata kwa ajili ya matangazo ya biashara Raheem Da prince anapatikana kupitia email address yake raheemdaprince@gmail.com