Blogger Widgets

January 5, 2013

Alichopost Godzilla a.k.a ZIZI kuhusu Birthday Yake Leo.

Msanii wa Hip Hop kutoka Salasala maarufu kama Godzilla siku anayo furaha baada ya kutimiza miaka kadhaa toka azaliwe. Tunamtakia all the best katika game na harakati nzuri kwenye game.