January 7, 2013

Comedy:Gym na Mazoezi ya wenzetu Huko Ulaya

 Kweli kabisa mzee mwenzangu unamkubalia mkeo akafanyishwe mazoezi kama haya?! Tena na kidume? Kibongo bongo patachimbika ila wenzetu kwao ni mambo ya kawaida, tunaona njemba ndo kocha wa mazoezi katika Gym moja huko ulaya na anawapinda kweli kweli wanafunzi wake.