Maajabu Bado yanaendelea:Huyu ndio Mcheza Filamu za Ngono aliekusanya Chupa karibu 100 zenye Mbegu za Kiume.
Muigizaji mmoja wa Sinema za Ngono, Mjapani, amekusanya zaidi ya chupa
100 za manii kutoka kwa masshabiki wake tofauti tofauti katika campaign
yake ya kutengeneza watoto huku akiahidi kuwalea na kuwatunza vizuri
watoto hao. Chupa hizo za plastiki zilifungwa na kuandikwa majina ya
wadau hau waliojitolea mchango huo wa "hali na mali.