January 4, 2013

Uzinduzi wa Cafe ya Izo Bizness Uliofanywa na Mh. Joseph Mbilinyi(Sugu)

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu leo alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya rapper Emmanuel ‘Izzo B’ Simwinga.


Ofisi hiyo iitwayo Izzo Bizness Internet Cafe & Secretarial Bureau ipo TEKU University jijini Mbeya.

izo 1

izo 2