MAMBO YA USWAZI HAYO.
MTANDAO huu wikiendi hii ulizungukia baa za Maeneo ya Chamwino mkoani Morogoro na kushuhudia vituko kibao.
Miongoni mwa vituko hivyo ni mama mmoja wa makamo ambaye aliamu kutoka 'Out' na viatu vya kuogea'ndara' aliwashangaza watu kwa uamuzi wake wa kucheza muziki huku akivua nguo kama alivyonaswa na kamera ya Mtandao huu jana jumamosi.
Kitendo hicho kilionekawa kuwaweka mitegoni wanaume wakware ambao baadhi yao walianza kumnyemelea Bi Mkubwa huyo na kutaka kucheza naye,
Pichani chini ni miongno na vijana walionekana kummendea bi Mkubwa huyo aliyeonekana zahiri kuelemewa na kilevi.