Mchekeshaji maarufu Tanzania. Hapa mambo ndio yalianza kama kawaida katika kipindi cha ''The Super Star Show'' Ndani ya
Gilliady Severine ( Masai Nyotambofu ) Mchekeshaji kutoka Al-Riyamy Production anaetamba katika tasnia ya uchekeshaji kutoka kundi la BONGO SUPER STAR'S COMEDY wanaorusha kipindi chao cha VITUKO SHOW katika runinga ya CHARNEL TEN kipindi ambacho sasahivi ni gumzo hapa nchini, Leo saa nane
mchana alifanya mahojiano na Radio Breez ndani ya Tanga.
Msanii huyu alizungumzia maisha yake kwa ujumla pamoja na kazi zake kwa ujumla pia alizungumzia
kilichomvutia kuingia kwenye fani ya uchekeshaji pamoja na muziki wa kizazi kipya. Si haya tu alisema mengi tofauti
(Kushoto..akiwa na DJ Chopazon Kulia wakiwa kwanye pozi baada ya Intervew.





