Blogger Widgets

April 6, 2013

The Baby Mama Bongo Movie Star ,Amanda Posh Aeleza Yaliyo Moyoni Kuhusu Usumbufu anaoupata kwa sababu ya Shape Yake.

Mwana dada muigizaji ''Amanda Poshy'' kutoka BONGO MOVIE anaetikisa katika tasnia ya Filamu hapa nchini, jana alifunguka kuhusu usumbufu anaoupata mitandaoni na kwenye simu kama ifuatavyo->>>Simu ndio usiseme na balaa zaidi ipo kwenye mtandao....yaani ni usumbufu mpaka nimeshazoea.....na tatizo siwezi kuwajibu vibaya sababu wengine ni mashabiki wangu na ndio wanaonunua kazi zangu lakini hata hivyo huwa nawajibu kistaarabu na kuwaelewesha ingawa hiyo tabia inanikera.
Amanda Phoshy katika pozi

Akiwa Location tayari kushoot

Amanda akiwa maeneo ya kujidai huku pembeni yake inaonekana simu imemuishia chaji baada ya kusumbuliwa saana'' hatimaye analazimika kutembea na
chaja!

Mahojiano na
masainyotambofu.blogspot.com