Blogger Widgets

May 28, 2013

Hapa Ndipo Mwili wa Marehemu albert Mangwea Ulipohifadhiwa Kwenye Hii Hospitali ya Helen Joseph

Ngwea amefariki dunia leo asubuhi katika moja ya vitongoji vya jiji la Johannesburg na baadaye wenzake walimkimbiza katika Hospitali ya St Helen Joseph.