Blogger Widgets

May 23, 2013

Picha Ikimuonesha Diamond nPlatnum Akisaini Dili Baab Kubwa Kutoka Comoro

Akiwa hajamaliza wiki mbili  toka atoke kwenye tour,Sasa leo kupitia katika ukurasa wake wa instagram aliweza ku post hii picha huku pembeni akiwa mtu mwenye asili ya Asia ambaye ni promoter hata hivyo diamond aliweza kupost  nyingine  huku akisema #After I did the Uk,Congo,Burundi,......guess where next i ll be headed"
DONE DEAL!!!.... #COMORO! #COMORO! #COMORO! 22nd/June/2013... on Ma way Darlin #Wasafi.


Baada ya kumaliza kusaini mkataba wake aliweza kupost hii picha ya

pili...(Mkataba)
From: DJ Fetty