Blogger Widgets

May 20, 2013

Picha Mbalimbali za Nyumba Mpya ya Jennifer Lopez ni Zaidi ya IKULU

.
Nyumba yenye uzio mkubwa ndio ya J.Lo
Ni eneo la eka tatu lenye nyumba ya kifahari huko Hamptons New York ambayo imenunuliwa na mwimbaji J.Lo kwa dola za kimarekani milioni 10 ikiwa na vyumba 8 vya kulala, sparkling pool, pool house, theater, sauna, steam room and covered porches.
Hii stori imekuja wakati Marc Anthony ambae ni mume wa zamani wa J.Lo ametumia dola za kimarekani milioni mbili na nusu kununua nyumba huko Encino California Marekani.
.
.
.
.
.
.
.
.
.