Blogger Widgets

May 23, 2013

Picha Sita Ikimuonesha Mtangazaji Millard Ayo Akiwa Anafanya Interview Sporah Njau

Hii ni exclusive kabisa.....Owner and Presenter wa kipindi nguli
Uingereza The sporah show.....
Sporah Njau kwa sasa yupo nchini Tanzania kwa
mapumziko Maalumu.....
Hii ni Interview yake na Millard Ayo wa Clouds Fm.....
Picha kadhaa Sporah
akiwa kwenye Interview ya AMPLIFAYA with Millard Ayo....!!

Usikose kusikiliza 88.5 kuanzia saa 2 usiku.......
kila siku kusikiliza
AMPLIFAYA YA CLOUDS FM.....