Blogger Widgets

May 4, 2013

Sinta Amrudia Mage Kinambi Sasa Hii Ndio Kali Mazee!!

 
Naomba msinitumie comment lenye jina la Mangi sina pse
ndo maana mnaona nina bana comments si bani ila sitaki kutibu vichaa waliotoka milembe wasiojijua

imagine mtu asiye na mama wala baba wala ndugu anitukane? yeye anaharibikiwa ama mimi???


haaaaa sitomjibu muache ajaze kurasa ktk blog sina habari wala muda wa kujibu sijuwi sina mdhamini nyie wenyewe mnaona hapo chini na swala la my mum haaaaa asiejua maana haambiwi maana



MANGE SIKUJIBU UNA STRESS, HUNA BABA WA KUMUAIBISHA MAANA BABA ALIKUAIBISHA, HUNA MUM UMEKIMBIA NDUGU NA JUZI  KWA DR MWELE UMEKATALIWA KUPIGA PICHA ZA BDAY BISHAAAA?



BIG NO NO NO SIKUJIBU


waache watukane uongo  utajitenga na ukweli  maana hao unaosema wamejitoa wanapeta hapo chini sasa nani anaonekana ana kichaa kati yangu me na wewe??


poor u,,,, sikujibu  ila comment zitamwagika kama kawa wewe endelea kama kawa sweet heart coz si vya kweli so haviniumiiii


oooh diploma sijui nini haaaaaaaa karatasi haidanganyi kitu na muhuri juuuu


byebye


nina enjoy my week endooo na family




mtu umegombana na watu million moja sasa mimi wa million na moja nina jibu nini haswa ambao waliotangulia hawajajibu zaidi ya kukwambia

u need to see a doctor madam