Blogger Widgets

June 5, 2013

Check Picha Jinsi Matukio yanayoendelea Muda Huu Leaders Club:


Photo: Watu ni wengi sana hapa Leaderz...Kila mmoja anataka kutoa heshima za mwisho kwa marehemu

NI VURUGU HAPA WANANCHI WANAGOMBANIA KWENDA KUTOA SALAMU ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU
Photo: NI VURUGU HAPA WANANCHI WANAGOMBANIA KWENDA KUTOA SALAMU ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU

PRODUCER LAMAR NA FID Q “NGOSHA” WAKIWA KWENYE MIZUNGUKO HAPA LEADERZ KUHAKIKISHA…WATU WA HUDUMA YA KWANZA WAPO STAND BY.
Photo: PRODUCER LAMAR NA FID Q "NGOSHA" WAKIWA KWENYE MIZUNGUKO HAPA LEADERZ KUHAKIKISHA...WATU WA HUDUMA YA KWANZA WAPO STAND BY.
HESHIMA YA MWISHO ZINATOLEWA MUDA HUUU

MBWA WA POLISI WAMELETWA HAPA KUZIMA VURUGU ZA WATU KUGOMBANI KWENDA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU.
Photo: MBWA WA POLISI WAMELETWA HAPA KUZIMA VURUGU ZA WATU KUGOMBANI KWENDA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU.

JIDE TEAM ANAKONDA NDIO ANAWASILI HAPA AKIWA NA J.MO
Photo: JIDE TEAM ANAKONDA NDIO ANAWASILI HAPA AKIWA NA J.MO


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI