Blogger Widgets

June 22, 2013

Check Video ya Rihanna Alivyompiga na Microphone Shabiki Wake Baada ya Kushikwa Mkono kwa Muda Mrefu wakati akiwa anapiga Show Uingereza

 
Kwenye youtube kuna video ambayo inamuonesha wazi kabisa Rihanna akimpiga shabiki na microphone yake baada ya shabiki kumshika mkono na kuung’ang’ania akiwa kwenye show. Rihanna ailionekana akienda kwa mashabiki wakati akiperform ndani ya LG Arena huko Birmingham kabla shabiki hajamng’ang’ania mkono Rihanna. Msanii huyo mwenye miaka 25 alimshambulia shabiki huyo alafu akaondoka zake. Rihanna ajaomba msamaha kufuatia tukio na akaandika kwenye instagram kwamba alifanya hivyo kwa maana anayoijua yeye. Akaongeza Yule asingeniachia” tukio hilo lilitokea mbele ya umati amabo ulikuwa umewekewa kizuizi. Kutokana na ripoti inasemekana kwamba Rihanna alimpiga shabiki huyo kwenye uso, ingawa kwenye video haijaonekana vizuri
alimpiga wapi. Kwa sasa Rihanna yuko kwenye Tour yake ya Diamonds huko UK na show inayofuatia itafanyika Sunderland...Check video