Blogger Widgets

June 18, 2013

Check Vipande Vya Video Vikionesha Crip za Mwisho Kabisa za Marehemu Albert Mangwea akishoot Video south Africa Kabla ya Kifo Chake

Hiphop staa wa Tanzania Albert Mangweha alifariki dunia akiwa Afrika Kusini May 28 2013 ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo chake hakijajulikana na siku kadhaa kabla ya kifo, Ngwea alifanya video ya wimbo alioshirikishwa na msanii Mtanzania anaeishi Afrika Kusini aitwae Mossred.
Hizi video hapa chini ni sehemu ya utengenezwaji wa hiyo video ambayo bado haijatoka….. ilifanyika Kimberley

  
From:Millard