Blogger Widgets

June 18, 2013

Fuatilia Hizi Tuzo Mpya Kabisa Pamoja na Nominees Wake.

Majina ya vijana walio chini ya miaka 30 watakaochuana kwenye tuzo za Under 30 Awards 2013 yametangazwa. Haya ni majina yatakayochuana kwenye tuzo hizo mpya zilizoanzishwa na taasisi ya Youth For Africa (YOA).
11902_302475319884732_810277954_n
entertainment
fashion
media
design and arts
social impact
sports

wajasiriamali