Blogger Widgets

June 22, 2013

Kula Kuku,Kula Bata Ingia Club naUkitane na Mademu Kama Hawa,Wakiwa na Style Hii.Wame make Head Line

MSANII wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvaa kigauni ambacho mara kadhaa alipopozi aliacha wazi sehemu zake nyeti. 

Jack akiwa kaacha nje nyeti zake (sehemu iliyozibwa).
Tukio hilo lilinaswa na mwandishi  wetu ndani ya Ukumbi wa Sun Ciro, Ubungo jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa Shindano la Kigori wa Tanzania ambapo Jack alikuwa ameongozana na rafiki yake, jina lake halikufahamika.

Akiwa ukumbini hapo, mwanadashosti huyo aliyeonekana kula kilevi cha bei mbaya, alikuwa akiwatoa udenda wanaume kutokana na kigauni chake hicho kifupi hadi wengine kufikia hatua ya kumchana kuwa, alijichoresha kwa kutovaa ‘kufuli’.



“Huyu naye! Ndo nini sasa kutovaa kufuli kwenye kadamnasi? Wasanii wetu bwana,” alisikika kijana mmoja huku Jack akionesha kutojali.

No comments:

Post a Comment