Mida
hii hapa Leaders Club kila kitu kinakwenda sawa kabisa na kama
mnavyoona steji imekamilika na kupambwa vizuri nadhani hadi kufika
asubuhi mambo yatakuwa mazuri kabisa na muonekano utakuwa vizuri na
watanzania waishia Dar es Salaam watapata nafasi yakutoa heshima zao za
mwisho kwa ndugu yetu Albert Mangweha na baada ya kuuaga basi safari
yakuelekea Morogoro itaanza.
Sehemu hii ndipo mwili wa marehemu Albert Mangweha ndio utawekwa hapa tayari ya kuanza zoezi zima la kumuaga.
Kwa
wale mashabiki wa EAST Cost nadhani watakuwa wanamfahamu msanii huyu
anajulikana kwa jina la PUFF G nae amekuja japo apate picha ya ukumbusho
kidogo maana baadae hapa patakuwa na msongamano wa watu wengi sana.
From:DjChoka
No comments:
Post a Comment