Blogger Widgets

June 1, 2013

Picha Mbalimbali za Ajari Ilivyotokea na Kuharibu Vibaya Gari la Wema Sepetu1 Star2 Stars3 Stars4 Stars5 Stars


Gari ya Miss Tanzania mwaka 2006 akijulikana kama WEMA SEPETU imeonekana kupata ajali na kuharibika vibaya sana.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa mwanadada Wema ametupia picha za ajali hiyo huku pamoja na mtu aliepata ajali na gari hilo ambae ni mfanyakazi wa kampuni yake ya Endeless Fame aliemtaja kwa jina la Robby.
See photos za gari hiyo baada na kabla ya kupata ajali …
wema...
wemm
Huyu Ndie Kijana aliepata ajali kwenye gari hilo..
wema..

wema