PICHA:Izzo Bizness, Shaa na Barnaba Wakiwa Tayari in LOVE me.
Rapper
kutoka Mbeya Izzo Bizness anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya,
Love Me aliowashirikisha Shaa na Barnaba. Kupitia Instagram, rapper huyo
ameshare picha za wakati wa uchukuaji picha za video hiyo. Izzo B kwenye scene ya chumbani Shaa akiwa location ya nje wakati wa uchukuaji wa video hiyo Msichana atakayeonekana kwenye video hiyo Barnaba ataonekana hivi!!!
No comments:
Post a Comment