Blogger Widgets

July 1, 2013

Check Picha Jinsi Huyu Binti amabaye ni Mwanafunzi alivyofumaniwa na Wazazi wake akiwa Gest.Kipigo Chake Sasa?


Mwanafunzi mmoja amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo jana, tarehe 29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam. Hata hivyo mfumaniwa mwenzake ( mwanaume ) hajakamatwa kwani aliponyoka na kukimbia.
Wazazi wakimpiga binti yao kwa uchungu na hasira mara baada ya fumanizi.