Blogger Widgets

July 9, 2013

Huyu Ndio Mwanamke aliyefanya Mapenzi na Maiti na Kupata Mimba Baada ya Week Mbili.Mwanamke mmoja mhudumu wa chumba cha kuhifadhia maiti ameushangaza ulimwengu kwa kitendo chake cha Kujilazimishia mapenzi kutoka kwa mwanaume ambaye amekufa hadi kufikia kupata Ujauzito.

Felicity Marmaduke (38), Mkazi wa Lexington Missouri, alikumbwa na mkasa huo baada ya kumtamani marehemu huyo wakati wa kumuosha na ndipo alipoamua kujiweka juu yake na kuanza kufanya naye mapenzi, cha kushangaza ni kwamba maiti hiyo iliweza kutoa mbegu za kiume. Baada ya wiki mbili, mwanamke huyo alienda kujipima ujauzito baada ya kujihisi tofauti na ndipo alipogundua ya kwamba ameshika mimba.

Ilimbidi atoe taarifa kwa familia husika ambayo ilimfungulia mashataka kwa kitendo chake hata hivyo naye amefungua mashtaka akidai iuzwe moja ya nyumba ya marehemu huyo ili alipwe gharama za matunzo.