Blogger Widgets

July 11, 2013

Picha Mbalimbali zikonesha T.I.D Anachokifanya Uingereza

T.I.D mkali wa long time kwenye bongoflava tangu enzi za Zeze, Siamini hadi leo hii na Kiuno na bado anamiliki headlines, wiki kadhaa zilizopita baada ya kumaliza msiba wa mshikaji wake Mangwea, alisafiri kwenda U.K kufanya show ambako huko pia ndio alifanya interview inayozungumziwa sana hivi sasa kwenye mitandao pale alipokiri hadharani kwamba huwa anavuta bangi, zifuatazo ni pichaz za jinsi Mzee mnyama T.I.D akiwa kwenye mitaa mbalimbali ya U.K