Blogger Widgets

July 1, 2013

Picha ya Mtoto wa Nyati aliyezaliwa na Kufanana na Mtoto wa Binadamu Kabisa

Nchini Thailand, Nyati  amezaaa mtoto anayefanana sana na mwanadamu. Hizi ni picha ya nyati zikionyesha uso  na wa binadamu hasa yake ambayo ni sawa . Hata hivyo, mikono yake na miguu inafanana  zaidi na  nyati. Lakini kwa ujumla nyati anafanana sana na ng’ombe. Lakini sio kwa binadamu.
Unbelievable+Human-like+Buffalo+Birth

Kwa bahati mbaya kiumbe huyu alikufa muda mfupi baada ya kuzaliwa. Hli jambo limeleta gumzo na mtafarukiu mkubwa katiak kijiji hicho kuna imani kwamba tukio kama hilo linata baraka kwa watu wote wa sehemu tukio lilipotokea. kutokana na imani hii watu wengi wameonekana wakiomba na kusali ili wapate baraka. uso wa kiumbe  huyu huwezi kutofautisha ni binadamu au ni nyati alisikika mwanakijiji mmoja.