Blogger Widgets

August 6, 2013

Check Picha Mbalimbali zikionesha Lulu,Linah na Mama Kanumba wakiwa Location Kwa Ajiri ya Shooting ya Vido Mpya Inayoitwa"MAPENZI YA MUNGU"

Muigizaji maarufu
 Swahiliwood Elizabeth Michael
(Lulu) na mama Kanumba
(Flora Mtegoa) kwa mara ya kwanza 
wanakuja na filamu inayoitwa
 Mapenzi ya Mungu. Katika filamu
 hiyo waigizaji wengine ni Linah
 Sanga ambaye ni mwanamuziki
 maarufu wa Bongofleva na Sudi Ali. 
Angalia baadhi ya picha za behind the 
scenes za filamu hiyo
Lulu na Linah

Mama Kanumba, Sudi Ali na 
Lulu wakiwa location
 

  photos credit: Ismail Sal Feisal