Sikukuu kila mtu huwa anapenda kuisherekea kitofauti zaidi. Hivi ndivyo muigizaji Wema Sepetu aliamua kuisherekea kwa upande
wake, alitumia muda wake wa sikukuu ya Eid kukaa pamoja na wazazi wake
wote wawili na kusherekea pamoja nyumbani kwao ikiwa ni pamoja kupiga
nao story nyingi. Picha kama hii haijawahi kutoka ikimuonyesha Wema
akiwa na wazazi wake wote wawili. Mara nyingi anakuwaga na mama yake na
mara moja alionekana kuwa na baba yake.
No comments:
Post a Comment