Blogger Widgets

August 28, 2013

HiI Ndio Taarifa Kamili Juu ya Ugomvi Uliomkuta Aunt Ezekiel Mpaka Kuchomwa Chupa Mkoni Na Kukimbizwa Hospitali Kama Inavyoonekana Hapa



 
MWIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Aunty Ezekiel imeripotiwa kupata majeraha katika mkono wake wa kushoto baada ya kuchimbwa na chupa yenye ncha kali, sakata hilo la hatari lilitokea Club  Billicanas wakati wa show iliyokifanyika hapo chini ya Madam Wema Sepetu chanzo chetu kimetuhabarisha.


Chanzo cha ugomvi hadi leo bado kitendawili baada ya kutoka fununu kuwa uenda ugomvi huo unahusishwa na kumgombea bwana yaani mwanaume ambaye waliwahi kumgombea siku za nyuma lakini kupigana kidogo ambapo mmoja alitoka nduki na kuacha msala ukitulia.


Chanzo chetu bado kinafuatilia tukio hilo kwa ukaribu kisha tutakujuza kulikoni hadi nyota wetu kutaka kuharibiwa show yake ambayo ndio inapa ajira katika uigizaji, tunampa pole kwa majeraha yaliyompata , huku tukisubiri atusimulie sakata leo hakuwa tayari kupokea simu yetu.

No comments:

Post a Comment