Blogger Widgets

August 28, 2013

Huyu Ndio Ray C Mpya akiwa Yupo Gym anapunguza Unene

Siku kadhaa tu baada ya kutangaza kurudi kwenye muziki kama zamani, Ray C akiwa ametoka kwenye matibabu ya matumizi ya dawa za kulevya… ameanza kujipanga kupunguza unene alionao ili awe mwepesi zaidi ya alivyo sasa ili kila kitu kiende kama kilivyokua.
Ray C akipiga story na fans wake alisema “Mauno ni nyonga si manyama”, hii ni moja ya sababu za msingi sana zilizomfanya Rehema Chalamila kuingia
 gym kuanza mazoezi
 ray4ray2
ray3

No comments:

Post a Comment