Blogger Widgets

August 12, 2013

Ndio Ustaa Huu:Baada ya Kuweka Hizi Picha Kupitia Instagram Ndio Mwanamitindo Huyu Alivyopata Followers Wengi

 

Kwa wasiomjua, anaitwa Yvone Nwosu, Mwanamitindo kutoka nchini Nigeria, ambaye juzi tarehe 8 August alikuwa ana adhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa, hivyo kuamua kuwatupia Follers wake picha hizo ambazo wenyewe wanaziita "Kinky"

Tukio hilo lilimfanya kuongeza idadi ya washabiki wanaomfuata na kufikia 7,000. Angalia Picha zaidi hapo chini.photo