Blogger Widgets

August 15, 2013

WASTARA AONYWA KUWA MBALI NA HUYU JAMAA:Check Picha Karibu 40 Jinsi Huyu Jamaa alivyowakusanya Warembo Mbalimbali na Mamiss na Kupiga Nao Picha za Utupu na Kuwadhalilisha Kwenye Hili Gari Lake na Maeneo Mengine ya Coco Beach


Na Mwandishi Wetu

Mtandao wetu umefanikiwa kunasa picha mbalimbali za aibu za msanii
chipukizi na mwanamuziki Manaiki Sanga akifanya ufuska wa kutisha na
wanawake tofauti tofauti hali inayoonesha ameazimia kujitoa muhanga
juu ya gonjwa hatari la ukimwi linalotishia dunia nzima.
Habari za uhakika toka kwa chanzo chetu kilichotushushia shehena za
picha hizo kilisema msanii huyo ambae pia ni anaigiza pamoja na kundi
la Ze Komedi la East Afrika Tv tangu apate jina amekuwa akijihusisha
na vitendo viovu vya unyanyasaji wa kijinsia kwa kuwarubuni mabinti
kupiga nao picha za aibu kwa lengo la kutafuta jina na amekuwa
akitumia kiasi kikubwa cha pesa kufanikisha suala hilo.
Aidha katika hali nyingine msanii huyo aliyetamba sana kwenye filamu
ya Love Postion, Tikisa na nyinginezo amekuwa akitumia gari yake
kufanyia ufusika" Kwa kweli hali ni mbaya ile gari yake ameigeuza kama
gesti ambapo ukiiona gari hiyo imepaki sehemu kwa muda uje kuna
shughuri inafanyika ndani hivyo tunaliomba jeshi la polisi Kanda ya
Dar es  Salaam kulifanyia kazi suala hilo kisha kumtia mikononi huenda
wasichana wa watu wakasalimika jamani" Alisema muhudumu wa baa ya Coco
Beach ambako msanii huyo huwa anapenda kukaa.
Gari ya msanii huyo imekuwa maarufu sana huku nyuma ya gari hiyo
kukiwa na maneno haya " Nina Fanya Mambo" Money is Paper na inadaiwa
msanii huyo ni mtoto wa kigogo mmoja maarufu ambae anamiki hotel
kadhaa hapa mjini ikiwemo Itumbi iliyopo Magomeni.
Picha hizi zinawaonesha mamisi mbalimbali Kama Irine Kanka ambae
alikuwa Miss Temeke namba 2 mwaka juzi. Miss Utalii Fathiya Alfan"
Mrembo wa Facebook" Dida ambae ni mwanamuziki huko Zanziba. na
wengineo. Hata hivyo watu wamemuonya msanii nyota wa kike nchini
Wastara kutompa nafasi msanii huyo kwani akifanya hivyo atakuja kujuta
kwani imeonekana siku za hivi karibuni amekuwa na ukaribu sana kiasi
cha kwenda nyumbani kupata chakula.
Xdeejayz ilimtafuta Manaiki kupitia simu yake ya kiganjani ili kufanya nae mahojiano. Lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana hadi habari hii inaruka hewani. Xdeejayz kama chombo cha habari tuna laani vikali tabia za namna hii za baadhi ya wasanii wasiokuwawaadilifu kwani matukio kama haya yanarudisha nyuma juhuzi za seikali na taasisi za kupambana na gonjwa hatari la UKIMWI.

From:Xdeejayz