Blogger Widgets

October 7, 2013

Huyu Demu Aliyempiga Kibuti Mnyama T.I.D na Kusababisha Kulia Kila Sehemu.Ndio Yule Demu aliyekuwa anamsubiri Nje ya Nchi Ili akifika Wafunge Ndoa

Sifa mojawapo ya Mwanaume  jasiri  ni kuwa  na  uwezo  wa  kukabiliana  na  GUMU  lolote  litakalokukabili  katika  maisha  yako...Hapa  namzungumzia  msanii TID ambaye  yuko  kitandani  akiuguza  maumivu  ya  kuachwa  na  demu  wake

Sote  tunayajua  maumivu  ya  mapenzi pindi  unapoachwa  na  mtu  flani  umpendae, mtu  ambaye  ulimwamini  na  kukubali  kumvulia  nguo  zako  na  kisha  kumpa  moyo  wako...

Pamoja  na  maumivu ya KUPIGWA  KIBUTI  na  demu  wake,  TID amepiga  moyo  konde  na   kujitosa  facebook  kueleza  kilichomsibu.


“I am very sad to tell u guys that ……….am single again my girl just left me,” ameandika TID kwenye Facebook.

 Na ofcourse, mashabiki hawajamwacha peke yake. “There are plenty of fish in the sea, and you fish with dynamite ndugu wangu, hakuna matata, means she was not worth to stand next to you…,” ameandika mmoja na mwingine kumwambia, “I’m guessing there is going to be an awesome song of this sad event.”