Blogger Widgets

October 4, 2013

Na Mtuache Tulale


Wakati watu wakiongea mengi na kuzusha Dimond amemwaga mpenzi wake Penny na kurudiana na Wema Sepetu , Wawili hao Walikuwa wakilishana Cake na Kucheza Kitandani kama Watoto wadogo ...kama picha zinavyoonyesha ...Hakuna cha Wema wala nini ...Embu tuwaache Walale Jamani...Dahhhhh