Blogger Widgets

October 18, 2013

Picha Zikionesha Jinsi ANTHENY MUSHI,Mwanaume aliyemuua Mama Yake Ufoo Saro na Kujiua Mwenyewe Akiwa Anaagwa Jijijini Dar

Waombolezaji wakipita kuaga mwili wa aliyekuwa mzazi mwenzake mwandishi wa habari wa ITV/Radio One, Ufoo Saro marehemu Anthery Mushi wakati wa ibada fupi ya kuaga mwili wake iliyofanyika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.
Sehemu ya waombolezaji wakisikiliza kwa makini wasifu wa aliyekuwa mzazi mwenzake mwandishi wa habari wa ITV/Radio One, Ufoo Saro, marehemu Anthery Mushi, muda mfupi kabla ya kuagwa mwili wake katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam leo. Marehemu Anthery alisafirishwa kuelekea Uru, Moshi kwa maziko yanaotarajiwa kufanyika kesho.
credit: Father kidevu