Blogger Widgets

October 15, 2013

Picha zikionesha Jinsi Jamaa alivyokutwa kajinyonga Juu ya Mti Huko Morogoro na Polisi wa Doria Mida ya Saa Kumi Usiku

Mtu  Ambaye jina lake halikufahamika mara moja amekutwa akining'inia juu ya mti amejinyonga usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro.Chanzo cha mtu huyu kujinyonga hakijafahamika.Kwa mujibu wa askari aliyekuwepo eneo la tukio alidai kwamba askari wa doria waliokatiza  kwenye eneo hilo majira ya saa 10 usiku walishuhudia mwili wa mtu huyo ukining'inia juu ya mtu .

 Askari akipanda juu ya mti kwaajili ya kuushusha mwili wa marehemu.

No comments:

Post a Comment