Blogger Widgets

October 22, 2013

Tazama Muendelezo wa Picha za Show ya Diomond Platnum Ndani ya CHINA


Wakati ile movie ya Temptation  iliozua Gumzo Jijini iliyowakutanisha tena Msanii wa muziki Diamond na Mcheza Filamu Wa Tanzania Wema Sepetu ambao waliwahi kuwa wapenzi ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Diamond Na Wema Week End Hii diamond Amekua na Show Ya kukata na shoka huko Guangzhou huku baadhi ya washabiki wakijiuliza mbona hawamuoni Maddam
Mkumbuke kuwa Maddam Na Diamond walikutana Hongkong na kwamba tayari Maddam amesharejea nchini, Labda show hiyo ni muendelezo wa Temptation ambayo location yake kuwa inaonekana kuwa Nje ya Nchi.
Cheki picha za show hiyo:-

 clip_image002  
                                      clip_image002[12]          clip_image002[19]


clip_image002[4]clip_image002[25]

clip_image002[6]

clip_image002[8]clip_image002[10]