Blogger Widgets

November 5, 2013

MAPENZI MAPENZINI:tAZAMA Picha Mabalimbali Msanii Prezoo Akiwa Kwenye Pozi za Hatari na Mpenzi wake Mpya ni Yule Mtanzania Anayeishi Marekani..Bonge la Baby Mama

Kwa muda mrefu drama kuhusu warembo wanaomzunguka Rapcellency Prezzo zimepungua kwa kiasi kikubwa. Bila shaka unakumbuka kipindi kile penzi lake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Diva lilivyokorea kiasi cha mrembo huyo kujichora tattoo yenye jina la rapper huyo.
1234761_606502159390834_36048257_n
Prezzo akiwa na mpenzi wake mpya

Uhusiano huo ukazusha beef kati yake na aliyekuwa mmoja wa wawakilishi wa Big Brother Africa mwaka huu, Huddah Monroe lililopelekea vita vya maneno kwenye Twitter kati ya warembo hao. Na sasa Prezzo amepata mrembo mpya. Anaitwa Starlisha Tillya aka Chagga Barbie. Ni mchaga na anaishi nchini Marekani. Ni binamu yake yake na marehemu Vivian Tillya.
9624cb8445fc11e3a4fc22000a1fc7c7_8
14153_606501816057535_1224957935_n
Kwenye profile yake ya Instagram, mrembo huyo ameandika: Am His First Lady My Life My Choices…My Ways, My Mistakes My Lessons Not Ur Business!!!Team #Rapcellecy #254 #LimitedEditionChic #FirstLady #Prestar #CatMummy

971074_606502219390828_1146104483_n
1235268_606502406057476_568755110_n
Kitu kimoja wanafanana hawa wawili. Wote wana mkwanja

Picha zaidi za mrembo huyo
554525_599173436790373_1819909567_n
971019_585540611486989_2011481741_n

1069414_575443575830026_890517854_n
1150245_599171986790518_1479921257_n
1184811_591390140902036_1977209842_n
1184987_599196623454721_1384093600_n
1185267_589885621052488_2141718816_n
1234425_596736330367417_1022886228_n
1238973_597197640321286_1130481584_n
1240632_606452009395849_38189597_n