Blogger Widgets

November 3, 2013

Norah Azungumzia Swala la Yeye Kupigwa na Ray C

Kweli udaku udakuni! Soma hapa alichokisema mwanadada Norah baada ya kudaiwa kupigwa na Ray C
Baada ya habari nyingi sana kuzagaa kwenye mitandao kuwa mwanadada Ray C amegeuka bondia na kumpiga kwa knock-out kali mwanadada Norah, hatimaye kupitia mtandao mmoja maafufu wa kijamii tumeweza kupata video ikimuonesha mwanadada Norah akisema kuwa tukio hilo si la kweli na kwamba yeye na Ray C ni mashosti wa kufa mtu na kuwa habari hizo ni za uzushi tuu