Blogger Widgets

November 4, 2013

Tazama Alichokifanya Roma Kwenye Makamuzi ya Tamasha la Born Fire Chuo cha Sauti Jijini Mwanza Akisapotiwa Jambo Squard


Roma Mkatoliki alikinukisha kwenye Tamasha la born fire chini  ya Udhamini mnono wa Serengeti Breweries kupitia kinywaji chake cha Pilsner Lager King of Bold, tamasha likifanyika viwanja vya Raila Odinga chuo cha Sauti Nyegezi jijini Mwanza.

Burudani inapokolea....

Hisia za Roma.

aaaaah saa mingi umepanda...!!!

Jambo Squard walifunika mbayaaa viwanja vya Raila Odinga Chuo cha SAUT jijini Mwanza.

Jambo Squard wakilishambulia jukwaa pamoko.

"Ah kacha..kacha..kacha twanasa kumbukumbu"