Blogger Widgets

December 13, 2013

"eeh Mwenyezi Mungu Isaidie Suruali Hii ya Leo Naipost tena Isichambwe"DIAMOND PLATNUM...tazama Picha Aliyoiweka

 Hahaha Diamond kanichekesha sana leo. Baada ya kuandamwa na mafashion police kutoka kila pande pamoja na mashabiki wake kuhusu suruali yake aliyo vaa kwenye harusi ya P-Square (pichani), leo hii ameitinga tena na kurusha picha Instagram akiambatanisha na kadua ili watu wasimchambe.
 Hapa chini ni baadhi ya comments kutoka kwa wadau: