Blogger Widgets

December 26, 2013

Kweli Ugonjwa wa Kisukali Unammaliza Msanii wa Bongofleva.Baghdad Baba Lita

MSANII BAGHDAD WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA BAGHDAD AMEWADUWAZA WENGI KUTOKANA NA MWONEKANO WAKE MPYA WA MWILI WAKE..AWALI MSANII HUYO ALIZOELEKA KUWA NI MSANII MWENYE MWILI MKUBWA NA KUMTOFAUTISHA NA WENGINE ILIKUWA RAHISI..ILA SASA AMEPUNGUA SANA KIASI KWAMBA HATA KUMFAHAMU KWA URAHISI INAKUWA NGUMU.