Blogger Widgets

December 17, 2013

Picha na Habari Ilizomake Head Line Leo nI Kuhusu Mke wa Mtu aliyemwaga Lazi mbele za Watu

 
MENENGUAJI wa kundi la Mavampaya lenye maskani yake jijini Dar es salaama Bi.Queens Michael 'Mama Tentemente' ambaye ni mke wa mtu mwishoni mwa wiki iliyopita alimwaga radhi mwanzo mwisho ndani ya ukumbi wa DDC ulipo pande za Nunge


Mke wa Mtu Queens Michael' Mama Tentemente' akiwajibika jukwaani