Blogger Widgets

January 30, 2014

Hapa ndipo Prezzo alipochemka kumuiga Diamond

Kweli kabisa kuna mambo Kama ni wasanii wanaigana katika njia yakujipatia umaarufu especially Kama kila unapojaribu kufanya haya-turn out mazuri ni bora kuachana nayo kabisa,hapa tunaongelea hili la u-playboy au kwa maana nyingine ni kule kujaribu ku-date na ma-star wenzao ili tu kutafuta headlines kwenye magazeti ya sehemu mbalimbali sometimes kweli si ishu.
Hivi karibuni kwa kipindi cha muda mfupi tumeona jinsi msanii huyu PREZZO akiendelea kupata lawama na message mbalimbali kwenye mitandao yakijamii kutoka kwa wapenzi wake  pale tu wanapoachana,hii imekuwa inamtengenezea sura mbaya kWa mashabiki wake na hata kupoteza baadhi ya mashabiki kWa vitendo hivi.
Prezzo www-vibe-co-tz
Kusema kweli Kama alikuwa anamuiga Diamond platnumz kutokana na story zake za ku-date na stars mbalimbali,habari zinazopewa headlines hadi kwenye magazeti ya nchi nyingine nje ya Bongo na hata akiachana na demu wake hauwezi kuona wanatukanana kwenye social media. Diamond anaonekana ni mtu anayemuheshimu mwanamke na katika interview zake amekua akizungumzia swala hilo na hata celebrities aliyowahi kutoka nao wamesema hivyo pia , hiki ndicho kitu ambacho prezzo amekosa.
Diamond-penny-wema-sepetu-www-vibe-co-tz

Basi inabidi kujipanga upya,cause so far kila manzi anaye date naye imeonekana kum-diss msanii huyu tena hadharani wanapoachana,wakiwemo Hudda Monroe kutoka Kenya na m-tz mmoja maarufu Kama chaggaBarbie aishie huko marekani.
Katika harakati hizi za kujipatia umaarufu zaidi hasa kupitia hobbie nyingine ambazo ni haramu Kama hizi ni vizuri Kama mtu atakuwa mpole na kuandokana na hizi hali za kukurupuka ku-date na kila msanii maarafu ilimradi tu nae ajione kama beyonce na jay-z.