Blogger Widgets

February 28, 2014

Licha ya picha zinazosemekana kumdhalilisha kusambaa mitandaoni PNC sasa Tazama Picha za PNC alivyoingia studio na Ostaz Juma na ku-record wimbo wa pamoja

Licha ya wadau na mashabiki wa sanaa kukasirishwa na video, audio pamoja na picha  iliyokuwa ikimuonyesha PNC akimpigia magoti Ostaz Juma na musoma akimuomba msamaha na kuomba kurudi katika kundi la Mtanashati linalosimamiwa na Ostaz, huku wakidai kuwa ni kumdhalilisha, PNC ameonekana kutokujali na kutamka wazi kuwa ataendelea kuwa mtanashati na wameshakubaliana na msamaha wake umekubaliwa.
Picha hiyo ya juu inamuonyesha Ostaz na PNC wakiwa ndani ya studio za Mazoo. Inasemekana wanarecord wimbo wa pamoja utakaoitwa "Thamani yangu"